Diddy kutoshiriki tuzo za Grammy 2024

Diddy kutoshiriki tuzo za Grammy 2024

Rapper kutoka nchini Marekani #PDiddy ameripotiwa kuwa hatoshiriki katika Tuzo za Grammy mwaka 2024 kufuatia na kesi nyingi zinazo mkabili licha ya kuteuliwa kuwania Tuzo katika kinyang’anyiro hicho.

2023 ni mwaka mbaya kwa Diddy ambapo alikabiliwa na kesi kadhaa za unyanyasaji wa kingono na makosa mwengine ya ulaghai aliyowahi kuyafanya miaka ya nyuma.

Ikumbukwe kuwa Diddy aliteuliwa kuwania Tuzo katika kipengele cha Album bora  ya R&B kupitia album yake ya ‘The Love: Off the Grid’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags