Atembea kilomita 450 kwa miguu baada ya kugombana na mkewe

Atembea kilomita 450 kwa miguu baada ya kugombana na mkewe

Mwanaume mmoja kutoka nchini Italy amewashangaza wengi baada ya kutembea kwa miguu maili 280 (450km) kutoka mji wa Como hadi mji wa Fano, ambao ni sawa na umbali wa Dar es Salaam hadi Moshi kwa lengo la kutuliza mawazo baada ya kugombana na mkewe.

Mwanaume huyo alipatikana kwa msaada wa polisi baada ya mkewe kutoa taarifa kituoni kuwa mumewe kutoweka. Hata hivyo kwa upande wa mwanaume huyo baada ya kupatikana, ameeleza kuwa hata yeye haamini umbali aliotembea kwani mwanzo hakuhisi chochote kwa kuwa alikuwa na mawazo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags