Momoa afunguka kutokuwa na makazi maalum

Momoa afunguka kutokuwa na makazi maalum

Muigizaji maarufu kutoka nchini Marekani #JasonMomoa amefunguka hali yake ya maisha kutokuwa na makazi maalum huku akidai kuwa hajali kabisa kukosa nyumba ya kuishi.

Muigizaji huyo ameeleza kuwa yeye huwa ana furahia hali hiyo na haoni sababu ya kukaa sehemu moja kutokana kazi yake ya Sanaa na hana mpango wakuwa na nyumba kwa sasa maisha yake yatakuwa ya kuzunguka kila maeneo ya ndani ya nchi na nje nchi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags