Wachezaji wapigwa na radi, Mechi yaghairishwa

Wachezaji wapigwa na radi, Mechi yaghairishwa

‘Mechi’ kati ya ‘timu’ ya vijana wanawake #InyemeraWFC na #RamburaWFC nchini Rwanda imeghairishwa baada ya radi kupiga katika uwanja wa Gicumbi na kusababisha watu kumi kujeruhiwa siku ya Jana.

Majeruhi hao walikimbizwa katika hospitali ya Gicumbi nchini humo na ina imedaiwa kati yao wachezaji saba wa ‘timu’ ya Rambura WFC, wako kwenye hali mbaya zaidi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BururudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags