Mchoro wa bei ghali, Uliuzwa zaidi ya 116 bilioni

Mchoro wa bei ghali, Uliuzwa zaidi ya 116 bilioni

Mchoro huu ulichorwa mwaka 1954 na mchoraji kutoka nchini Marekani aliyeitwa #MarkRothko, ukauzwa mwaka 2015 kwa Dola 46.5 milioni ambazo ni zaidi ya tsh 116 bilioni.

Mchoraji wa picha hii Mark Rothko alifariki dunia mwaka 1970. Unadhani nini kinavutia zaidi kwenye picha hii hadi kuuzwa kwa bei hiyo?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags