Anayedai mchepuko wa beki wa Man City ajitokeza na mtoto

Anayedai mchepuko wa beki wa Man City ajitokeza na mtoto

Anayedaiwa kuwa mchepuko wa mchezaji wa #MchesterCity, #KyleWalker, amejitokeza akiwa na mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Walker, baada ya mke wa beki huyo #AnnieKilner kutangaza kuachana na mumewe wiki iliyopita.

Kwa mujibu wa #Dailymail News inaelezwa kuwa mwanamke huyo aliyetambulika kwa jina la #LaurynGoodman amefunguka na kudai walikuwa kwenye mahusiano ya siri na mwanasoka huyo ambaye alifanikiwa hadi kupata naye mtoto.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags