Kivumbi leo Stars kukipiga na Zambia

Kivumbi leo Stars kukipiga na Zambia

Baada ya kuanza vibaya ‘mechi’ ya kwanza ya kundi F ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) kwa kufungwa mabao 3-0 na Morocco, ‘timu’ ya taifa ‘Taifa Stars’ inarudi uwanjani leo saa 2:00 usiku ‘kutesti’ zali kwa Zambia safari hii ikiwa chini ya ‘makocha’ wazawa, Hemed Morocco na Juma Mgunda.

Stars inahitaji matokeo mazuri ili kuweka hai matumaini ya kusalia michuanoni kabla ya kumalizana na DR Congo ambayo saa 5 usiku nayo itakuwa na kibarua dhidi ya Morocco, baada ya awali kutoka sare ya bao 1-1 na Wazambia.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags