Mo Salah arudi kambini

Mo Salah arudi kambini

Mchezaji wa ‘timu’ ya #Livepool na ’timu’ ya taifa #Misri #Mosalah amerudi kambi ya Liverpool baada ya kupata majeraha ya misuli ya paja kwenye mchezo wa mashindano ya AFCON dhidi ya #Misri na #Ghana.

Kwa mujibu wa ‘kocha’ wa ‘klabu’ hiyo #JurgenKlopp amesema kuwa mchezaji huyo baada ya kupatiwa matibabu atakuwa sawa kabla ya mashindano hayo kuisha na atarejea tena mchezoni.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags