CEO wa Man City atimkia Man United

CEO wa Man City atimkia Man United

‘Klabu’ ya #ManchesterUnited imemteua aliyekuwa CEO wa ‘klabu’ ya #ManCity, #OmarBerrada kuwa Afisa Mtendaji Mkuu mpya katika ‘timu’ hiyo akichukua nafasi #RichardArnold aliyeachilia kiti hicho baada ujio wa Sir Jim Ratcliffe ‘klabuni’ hapo.

Inaelezwa kuwa raia huyo wa Uhispania# amewahi kufanya kazi na ‘kocha’ #PepGuardiola pia amewahi kuwa mkuu wa uendeshaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags