Snoop Dogg atupilia mbali bilioni 250 kuonesha sehemu za siri

Snoop Dogg atupilia mbali bilioni 250 kuonesha sehemu za siri

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #SnoopDogg amedai kuwa alikataa ofa ya tsh 250 bilioni ambapo alitakiwa kuonesha sehemu zake za siri hadharani kwenye mtandao wa OnlyFans!.

Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 52 amesema, mke wake asingeruhusu yeye kuonesha sehemu zake za siri mtandaoni kwa kiasi chochote kile cha fedha.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags