Beki wa Man City penzini na staa wa The Suicide Squad

Beki wa Man City penzini na staa wa The Suicide Squad

Beki wa ‘klabu’ #ManchesterCity, #RubenDias baada ya kuchana na mpenzi wake #ArabellaChi adaiwa kuwa kwenye mahusiano na muigizaji nyota kutoka nchini Ureno #DaielaMelchior

Inaelezwa kuwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 amekuwa akimfuatilia kwa ukaribu star huyo siku za hivi karibuni kwa kumtumia ujumbe na ku-like picha za Daniela kupitia ukurasa wa Instangram. Hata hivyo wawili hao wamewahi kuonekana siku za hivi karibuni wakiwa pamoja katika sehemu tofauti nchini humo.

Daniela mwenye umri wa miaka 27 amewahi kuigiza filamu kama ‘Marvel’s Guardians of the’, The Suicide Squad’ Road house na nyingine nyingi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags