Man City ndiyo klabu bora duniani

Man City ndiyo klabu bora duniani

‘Klabu’ ya #ManchesterCity sasa inaongoza katika orodha ya ‘vilabu’ bora duniani, ikichukua nafasi ya kwanza kutoka katika ‘klabu’ ya #RealMadrid ambao wamepoteza nafasi hiyo  na kuwa wapili katika orodha.

Hii ni kulingana na viwango vya ubora vilivyotolewa na  Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS).

  1. Manchester City: England - points 312
  2. Real Madrid CF: Spain - points 301
  3. CR Flamengo: Brazil - points 268
  4. FC Inter Milan: Italy - points 249
  5. FC Porto: Portugal - points 239

 

  1. Al Ahly SC: Egypt - points 236.5
  2. Manchester United: England - points 230
  3. SSC Napoli: Italy - points 225
  4. SL Benfica: Portugal - points 221
  5. SE Palmeiras: Brazil - points 221






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags