Nicki Minaj na Megan wangia kwenye bifu zito

Nicki Minaj na Megan wangia kwenye bifu zito

Nyota wa muziki kutoka nchini Marekani #NickMinaj na Megan Thee Stallion wameingia kwenye bifu zito baada ya Nicki kufanya mzaha kuhusu mama yake Megani aliyefariki miaka sita iliyopita.

Kwa mujibu wa TMZ News inaelezwa kuwa mzozo huo ulianza wakiwa kwenye ‘platform Stationhead Friday’ baada ya wawili hao kupishana kauli ambapo Nicki alimwambia Megan bora aende akamchanganye mama yake na amuombe msamaha kaburini.

Ikumbukwe kuwa mama Megan alifariki kwa saratani ya ubongo mwaka 2019.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags