Kocha wa Barcelona yamemshinda

Kocha wa Barcelona yamemshinda

‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #FCBarcelona, #XaviHernández amedai kuondoka ‘klabuni’ hapo mwishoni mwa msimu huu kutokana na matokeo mabaya ya ‘timu’ hiyo.

Xavi ametangaza uamuzi huo na kusema kuwa ‘klabu’ hiyo inahitaji mabadiliko kwa sababu wamekuwa wakicheza kwa presha kubwa tokea alivyoingika mwaka 2021 akitokea katika ‘klabu’ ya Al Sadd ya nchini Qatari.

Wiki moja iliyopita Barcelona ilipigwa magoli 4-1 kutoka kwa Real Madrid katika mchezo wa Spanish Super Cup.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags