Pep adai kuwa atalala vizuri baada ya Klopp kusepa

Pep adai kuwa atalala vizuri baada ya Klopp kusepa

‘Kocha’ mkuu wa ‘klabu’ ya Man city Pep Guardiola ameonesha kufurahi yake kwa kueleza kuwa sasa atapata usingi mzuri baada ya ‘kocha’ wa #Liverpool Jurgen Klopp kutangaza kuondoka ‘klabuni’ hapo mwishoni mwa msimu huu.

“Nitalala usingizi mzuri, sitalazimika kufikiria sana ‘mechi’ dhidi ya Liverpool, bila shaka tutamkumbuka wengi tumeshitushwa na taarifa hizi”

Licha ya hayo Pep Guardiola ameeleza kuwa hatofuata nyayo za Klopp bali anampango wa kuongeza mkataba ili kuendelea kukinoa kikosi cha #Mancity.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags