Muigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani Carl Weathers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.
Taarifa ya kifo chake imetolewa na familia yake siku ya juzi Februari 1 wakieleza kuwa #Weathers amefariki kwa Amani akiwa usingizini. Aidha Weathers ameacha watoto wawili, ambao ni #Jason na #Matthew, pamoja na wajukuu.
#CarlWeathers amejulikana kupitia filamu mbalimbali ikiwemo, ‘#Predator’ , ‘#Rocky’, ‘Star Wars’, ‘The Mandalorian’ na nyinginezo.

Leave a Reply