Uchunguzi bado unaendelea Los Angeles katika kesi inayomkabili rapa ASAP Rocky, ambaye anakabiliwa na mashtaka mawili ya uhalifu, akidaiwa kumpiga risasi rafiki yake wa zamani...
Wakati baadhi ya watu wakichagua marafiki wa kuwanao katika maisha kwa ajili ya kuwasaidia lakini hii ilikuwa tofauti kwa mwigizaji mkongwe wa Marekani Sylvester Stallone &lsq...
Mwigizaji mkongwe kutoka Marekani Sylvester Stallone maarufu Rambo amefunguka kuja na kitabu chake kitachoelezea kuhusu safari yake hadi kuwa nyota mkubwa.Kwa mujibu wa Tmz ny...
Baada ya kuzua taharuki kufuatia ‘tisheti’ yake iliyoandikwa nimestaafu, sasa imeripotiwa kuwa mwanamuziki Rihanna anatarajia kupata mtoto wa tatu na mpenzi wake A...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Rihanna ameeleza kuwa anajiona mchafu akiwa na mpenzi wake #A$APRocky.
Rihanna amemsifia mpenzi wake huyo kwa kueleza kuwa ASAP Rocky huwa ...
Muigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani Carl Weathers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.Taarifa ya kifo chake imetolewa na familia yake siku ya juzi Februari 1 wakiel...
Baada ya kukabiliwa na mashtaka mawili moja likiwa kumshambulia mmoja wa wafanyakazi katika kundi lake la ‘ASAP Relli’ kwa bunduki, ‘rapa’ Asap Rocky a...
Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #Rihanna amesema anatamani na yuko tayari kupata watoto wengi zaidi na mpenzi wake #ASAPRocky licha ya kuwa na watoto wawili.
#Rihanna ame...
Rapper kutoka nchini #Marekani, na baby mama wa Rihanna #ASAPRocky ametajwa kuwa Mkurugenzi wa Ubunifu (Creative Director) wa ‘kampuni’ ya kutengeneza mavazi ya PU...
Rapa kutoka nchini Canada Drake amekutana na masimango kutoka kwa mashabiki wake, kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiwa amepaka rangi ya njano na bluu kwenye ku...
Ebanaee!! Ugomvi wa mwalimu na mwanafunzi hivi inakuaje, hii sasa huko North carolia nchini Marekani katika shuke ya Rocky Mount walizichapa mwalimu na mwanafunzi.
Basi bana t...
Mwanamuziki maarufu kutoka Barbados Rihanna inasemekana kuwa anaujauzito mwingine na hii imejulikana katika show aliotumbuiza ya Super Bowl 2023 iliofanyika katika uwanja wa A...