Rihanna: Najiona mchafu nikiwa na ASAP Rocky

Rihanna: Najiona mchafu nikiwa na ASAP Rocky

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Rihanna ameeleza kuwa anajiona mchafu akiwa na mpenzi wake #A$APRocky.

Rihanna amemsifia mpenzi wake huyo kwa kueleza kuwa ASAP Rocky huwa anapendeza sana katika uvaaji wake huku akijiona yeye mchafu anapokuwa pembeni yake hasa wakati wanapo safiri pamoja.

Ikumbukwe kuwa wawili hao walianza mahusiano mwaka 2019 ambapo mpaka kufikia sasa wamebahatika kupata watoto wawili.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags