ASAP Rocky akanusha shutuma zinazomkabili

ASAP Rocky akanusha shutuma zinazomkabili

Baada ya kukabiliwa na mashtaka mawili moja likiwa kumshambulia mmoja wa wafanyakazi katika kundi lake la ‘ASAP Relli’ kwa bunduki, ‘rapa’ Asap Rocky amekanusha shutuma hizo kwa kudai kuwa hana hatia.

Aidha wakili wa Asap, Joe Tacopia kufuatia na mahojiano yake aliyoyafanya baada ya kutoka Mahakamani ameeleza kuwa’rapa’ huyo hana hatia na muda si mrefu italithibitisha hilo.

Tukio hilo linaelezwa kutokea Novemba 6, 2021 nje ya hotel ya ‘W’, Hollywood.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BururudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags