Party iliyokuwa ikiwakutanisha ma-staa yahairishwa

Party iliyokuwa ikiwakutanisha ma-staa yahairishwa

Party iliyokuwa ikifanyika siku moja kabla ya Tuzo za #Grammy ambayo ilikuwa ikiongozwa na #Jay-Z na Roc Nation kwa lengo la kuwakutanisha ma-staa mbalimbali haitofanyika mwaka huu.

Kwa mujibu wa #Pagesix imeeleza kuwa hawatoweza kuhudhuria kwenye #Party hiyo kutokana na kualikwa katika sherehe ya rafiki yao Jon Platt ambaye ni CEO wa ‘Sony Music Publishing’.

Party hiyo ambayo ilipewa jina la ‘Brunch’ ilitakiwa kufanyika leo Februari 3, Brunch Party ilianzishwa mwaka 2017 na kusimama kwa muda kutokana na Covid-19.

Mas-taa waliohudhiria mwaka jana katika Party hiyo ni #Rihanna, DJ Khaled, #SwizzBeatz, #KanyeWest, Kim Kardashian, Kevin Hart, Megan Thee Stallion, #PushaT, Kelly Rowland, Nile Rogers, #Bayonce, #Jay-Z mwenyewe na mwengine kibao.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags