05
Megan haoni sababu ya kupatana na Nicki Minaj
Rapa wa Marekani Megan Thee Stallion amefunguka kuwa hayupo tayari kupatanishwa na msanii mwenzake Nicki Minaj, kwani hajui chanzo cha ugomvi wao.“Mpaka leo sijui tatizo...
31
Mawakili Megan wakanusha tuhuma zinazomkabili msanii huyo
Timu ya wanasheria wa Megan Thee Stallion inakanusha vikali madai yaliyotolewa na mpiga picha wa zamani wa msanii huyo Emilio Garcia kuhusiana na unyanyasaji wa kihisia na maz...
27
Drake ataka Tory aachiwe huru
Mwanamuziki kutoka nchini Canada #Drake ameonesha ‘sapoti’ yake kwa ‘rapa’ Tory Lanez akitaka aachiwe huru kutoka jela.Kupitia ukurasa wake wa Instagra...
03
Party iliyokuwa ikiwakutanisha ma-staa yahairishwa
Party iliyokuwa ikifanyika siku moja kabla ya Tuzo za #Grammy ambayo ilikuwa ikiongozwa na #Jay-Z na Roc Nation kwa lengo la kuwakutanisha ma-staa mbalimbali haitofanyika mwak...
02
Mashabiki wa Card B waivaa vita ya Megani, Nick Minaj
Baada ya mashabiki wa Nicki Minaj kutaja sehemu aliyozikwa mama mzazi wa ‘rapa’ Megan Thee Stallion, na kutishia kwenda kufukua kaburi hilo, na sasa mashabiki wa #...
26
Davido, Tems na Burna Boy kuwania tuzo za NAACP
Wanamuziki wanao ipeperusha Bendera ya #Nigeria #BurnaBoy, #Davido na mwanadada #Tems, wametajwa kuwania Tuzo za #NAACP kutoka nchini #Marekani.Orodha ya wasanii na vipengele ...
28
‘Rapa’ Tory aendelea kusota gerezani, dhamana yake yagonga mwamba
Baada ya ‘timu’ ya wanasheria wa ‘rapa’ Tory Lanez kutoka Canada kupeleka ombi la kumuachia msanii huyo kw...
23
Tory Lanez na selo ya peke yake
Baada ya purukushani za ‘kesi’ ya ‘rapa’ kutoka Marekani, Tory Lanez kuisha siku kadhaa na hatimaye kupelekwa gerezani rasmi, inadaiwa kuwa mfungwa huy...
14
Rema awatamani Nicki Minaj, na Megan Thee Stallion
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Rema, ameweka wazi kuwa matamanio yake kwa sasa ni kufanya ‘kolabo’ na rapper Nicki Minaj & Megan Thee Stallion. Rema ameyase...
11
Miaka 10 jela, agoma kuomba msamaha
Rapa Tory Lanez baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 10 jela, kwa kosa la kumpiga risasi Megan Thee Stallion, kabla hajaenda jela ameacha ujumbe kupitia ukurasa wake wa Insta...
08
Megan: Siwezi kuwa chumba kimoja na Tory
Rapa kutoka nchini Marekani Megan Thee Stallion bado anasumbuliwa na tukio la kupigwa risasi na Tory Lanez anasema hawezi kuwa katika chumba kimoja na Tory ambaye ndiye alimfa...

Latest Post