Wanaume walio single hawafurahii marafiki walio nao

Wanaume walio single hawafurahii marafiki walio nao

Idadi kubwa ya wanaume walikuwa ‘single’ (waseja) nchini Marekani wanadaiwa kupitia kipindi kigumu cha 'kutokuwa na urafiki', ambapo takribani asilimia 20 ya wanaume ambao wako single wanadaiwa kuwa hawana marafiki wa karibu, na zaidi ya nusu hawafurahii marafiki walio nao.

Aidha uchunguzi huo ulifanywa na #Geoff Bennett alibaini suala hilo ambalo aliwashirikisha wataalamu wa afya nchini #Marekani ambao walisisitiza wanaume walio ‘single’ kufanya jitihada za kutafuta marafiki ambao wataweza kuwashirikisha majambo yao, kusaidiana na kushughulikia masuala kama upweke na afya ya akili.

Licha ya hayo kwa mujibu wa ‘Latimes.com’ mwaka jana imeandika kuwa miaka thelathini iliyopita, wanaume wengi zaidi ya 55% wanaripotiwa kuwa na marafiki sita wa karibu, huku 15% wakiwa hawana marafiki kabisa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags