Kocha wa mali aililia nusu finali AFCON

Kocha wa mali aililia nusu finali AFCON

‘Kocha’ wa ‘timu’ ya Taifa  #Mali, #EricChelle, amwagiwa maji ili kupooza kichwa huku akilia baada ‘timu’ yao kutolewa  katika mashindano ya #AFCON na ‘timu’ ya #Coted'Ivoire ambao wametinga nusu fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika.

Coted'Ivoire waliwafunga Mali mabao 2-1 na kuibuka na ushindi huo mkubwa katika dakika za nyongeza.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags