Rick Ross ataka kolabo na Diamond

Rick Ross ataka kolabo na Diamond

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #RickRoss ametangaza kufanya ‘kolabo’ na wasanii wakubwa Africa akiwemo Diamond, Yemi, Stonebwoy na wengineo.

Kupitia Instastory yake Rick ame-shere taarifa hiyo kupitia video inayomuonesha akiwa na CEO wa #Belaire, ambapo ameeleza kuwa anampango wa kufanya project kubwa ya kutoa ‘kolabo’ na wasanii Barani Africa.

Endapo #Rick atafanya ‘kolabo’ na #Diamond itakuwa ya pili kwa sababu wawili hao waliwahi kufanya ‘kolabo ya ngoma ya ‘Waka Waka’ ambayo #Diamond alimshirikisha #Rick ya mwaka 2017 mpaka kufikia sasa inazaidi ya watazamaji milioni 14.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags