Shangwe la wafanyakazi kwa mteja wa kwanza wa vision pro

Shangwe la wafanyakazi kwa mteja wa kwanza wa vision pro

Baada ya kampuni ya #Apple kuzindua miwani ambayo unaweza kutumia kwa matumizi mbalimbali ikiwemo ‘Kompyuta’ kuangalia movie, kuingia katika mitandao ya kijamii na mambo mengine, sasa imeshaingia sokoni na hili ndio shangwe la wafanyakazi wa Kampuni hiyo kwa mteja wao wa kwanza ambaye hakutambulika jina lake.

‘Vision Pro’ imeanza kuuzwa siku ya jana Ijumaa, Februari 2, katika duka la #Apple lililoko Marekani yenye thamani ya dola 3,500 ambazo ni zaidi ya tsh 8 milioni.

Katazame video hiyo kupitia Instagram @Mwananchiscoop






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags