Baada ya kudai kuwa anampango wa kufanya ‘kolabo’ na wasanii wa wakubwa Barani Africa ‘Rapa’ kutoka Marekani #RickRoss ameendelea kuonesha upendo wake kwa #Africa, na sasa ameonesha heshima kwa baadhi ya Marais Barani Africa anaowakubali akiwemo Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Licha ya kutaja Marais ambao anawakubali kutokana na kazi wanazo zifanya pia ametaja wasanii ambao anawakubali akiwemo #Harmonize.
Leave a Reply