Rick Ross aonesha jeuri ya pesa

Rick Ross aonesha jeuri ya pesa

Ni wiki kadhaa tuu zimepita tangu ‘rapa’ #RickRoss kuweka wazi kutaka kujenga mjengo chini ya ardhi, na sasa ameendelea kuonesha jeuri ya pesa kwa kubomoa nyumba yake moja kati ya nyumba anazo miliki jijini Miami nchini Marekani.

Rick ame-share video kupitia Instastor yake ikionesha nyumba hiyo ilivyobomolewa ambayo inadaiwa kuwa na thamani ya dola 35 milioni sawa na tsh 88 bilioni kwa lengo la kuijenga upya.
.
.

.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags