Awanyima watoto urithi, Awapa Mbwa na Paka

Awanyima watoto urithi, Awapa Mbwa na Paka

Mwanamke mmoja aitwaye #Liu kutoka Shanghai nchini China ameamua kuwanyima urithi watoto wake na kuwapatia wanyama wake Mbwa na Paka utajiri wake wa dola milioni 2.8 ambayo ni tsh 7.2 bilioni.

Kwa mujibu wa tovuti ya #BusinessInsider #Liu amefanya uwamuzi huo wa kutowapa watoto wake urithi kwa sababu hawakumjali alipokuwa mgonjwa bali Mbwa na Paka walikuwa kando yake muda wote, hivyo basi amefanya uwamuzi wa kuwapa mali hizo wanyama hao.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags