05
Jela maisha kwa kubaka mtoto wa mkewe
Mahakama ya Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha imemuhukumu kifungo cha maisha, John Sanare Lukuaya Mkazi wa Kijiji cha Kimnyaki, kwa kosa la kumbaka Mtoto wa miaka mitatu na miez...
05
Amazon kuwaachisha kazi zaidi ya wafanyakazi 18,000 ili kupunguza gharama
Kampuni mashuhuri duniani ya Amazon inalenga kufunga Zaidi ya nafasi 18,000 za kazi ili kupunguza gharama, bosi wa kampuni hiyo ku...
05
Papa mstaafu Benedict XVI kuzikwa leo Vatican
Papa Francis ataongoza leo ibada ya mazishi ya mtangulizi wake Benedict XVI mjini Vatican, Ni tukio ambalo halijawahi kushuhudiwa katika enzi za kisasa na linatarajiwa kuhudhu...
04
Marekani yaruhusu vidonge vya kutoa mimba kuuzwa madukani
Kwa mara ya kwanza maduka ya dawa ya rejareja nchini Marekani yanaweza kuuza vidonge vya kutoa mimba, chini ya mabadiliko ya sheria mpya na utawala wa Biden.Watu wanaweza kupa...
04
Wanafunzi 14 wafutiwa matokeo kwa kuandika matusi
Baraza la Mitihani limefuta matokeo yote ya Wanafunzi 14 walioandika matusi katika upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili mwaka 2022. Necta pia imefuta matokeo yote ya Wanafun...
04
Jela miaka 35 kwa kuiba na kuuza viungo vya maiti
Mmiliki wa chumba cha kuhifadhia maiti na mama yake wamehukumiwa kifungo cha jumla ya miaka 35 jela baada ya kupasua mamia ya miili na kuuza sehemu za miili bila ridhaa ya fam...
04
Maadhimisho ya siku ya nukta nundu (Braille) Duniani
Kila Januari 4 ya kila Mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Nukta Nundu kwa lengo la kuongeza Ufahamu kuhusu  haki za binadamu kwa wenye Ulemavu wa Kuona, na Uoni Hafifu...
04
Pele apumzishwa katika nyumba yake ya milele
Mwanasoka nguli wa Brazil Pele ambae alifanya vizuri sana katika kucheza kwake mpira wa miguu, alipumzishwa katika nyumba yake ya milele baada ya zaidi ya  waombolezaji 2...
03
Shule zafungwa kutokana na kuongezeka kwa kipindupindu, Malawi
Shule katika miji miwili mikubwa nchini Malawi zitasalia kufungwa hadi wakati usiojulikana kutokana na mripuko wa kipindupindu unaoendelea kuwa mbaya zaidi. Wanafunzi walitara...
03
Ethiopia, Mahakama zapewa onyo kutoa vitisho kwa waandishi wa habari za uchunguzi
Mamlaka ya Vyombo vya Habari vya Ethiopia (EMA) ambayo iko chini ya Serikali imetoa onyo kwa mamlaka nyingine ambazo zimekuwa ziki...
03
Burna Boy awaomba radhi mashabiki zake
Nyota wa midundo ya Afrobeat kutoka Nigeria Burna Boy ameomba radhi mashabiki wake baada ya kuchelewa kupanda jukwaani katika tamasha ambalo alipanda jukwaani muda ukiwa umeen...
03
Utumbo wa nguruwe wamponza kijana Paulo
Kijana mmoja alietambulika kwa jina la Paulo mapunda mkazi wa kijiji cha kipingu Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe anasurika kifo baada kukatwa mguu wake wa kulia na Mamba wakati...
03
Ufaransa vijana kupewa condom bure
Inasemekana kuwa Kuanzia Mwezi huu wa January,2023 Vijana wa Ufaransa wataagana rasmi na bajeti za kununua condom kwakuwa condom zitaanza kugaiwa bure kwenye maduka yote nchin...
02
Dubai yaondoa ushuru wa pombe
Dubai imeondoa ushuru wake wa asilimia 30 kwenye pombe ikiwa ni jitihada za kukuza utalii ambapo pia itaacha kulipisha pesa ya ada kwenye leseni binafsi ya pombe ambayo alitak...

Latest Post