Wamiliki wa kumbi za starehe waandamana.

Wamiliki wa kumbi za starehe waandamana.

Wamiliki wa baa na kumbi za starehe mkoani Mwanza wameandamana kwa kufungiwa sehemu hizo za starehe.

Maandamano yamefanyika kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa huo Amos Makalla ambae amekabidhiwa ofisi hiyo siku chache zilizopita.

Vurugu hizo zimetokea baada ya kumbi na baa kufungwa na baraza la taifa, hifadhi na usimamizi wa mazingira (NEMC), hivi karibuni kwa kile kilichoelezwa uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags