21
Eric Omondi akamatwa tena na polisi
Mchekeshaji Eric Omondi amekamatwa tena na polisi nchini Kenya, wakati alipokuwa kwenye maandamano yanayoendelea nchini humo ya kupinga ongezeko la kodi katika Muswada wa Fedh...
26
Davido anaishi kwa mashaka, Camera zamnasa akikataa chakula
Baada ya siku kadhaa ‘kamera’ kumnasa msanii kutoka nchini Nigeria Davido kukataa maji kwenye maandamano ya kudai haki ya aliyekuwa msanii marehemu MohBad, kwa mar...
20
Wanaigeria waandamana kifo cha Mohbad
Mashabiki na watu mbalimbali wamefanya maandamano nchini Nigeria kufuatiwa na kifo cha aliyekuwa mwanamuziki Mohbad, anayedaiwa kufariki kwa msongo wa mawazo na infection hivy...
12
Jenerali Koome apiga marufuku maandamano, Kenya
Mkuu wa polisi nchini Kenya Inspekta jenerali Japhet Koome amepiga marufuku wafuasi wa upinzani kuitisha maandamano haramu leo Jumatano kufuatia wimbi la hasira juu ya ongezek...
19
Mkuu wa mkoa akataza maandamano
Akizungumza na waandishi wa habari, mkuu wa mkoa wa jijini Dar es salaam, Albert Chalamila amewataka raia waliokusudia kuandamana kupinga mkataba wa Tanzania na DP World waach...
05
Raia wa Morocco waandamana
Mamia ya watu waliandamana nchini Morocco siku ya Jumapili katika mji mkuu wa kiuchumi Casablanca kupinga kupanda kwa gharama za maisha katika taifa hilo na kutaka hatua zichu...
05
Senegal yazuia upatikanaji wa intaneti
Serikali nchini Senegal imezuia upatikanaji wa intaneti kwenye simu ili kusimamisha ueneaji wa taarifa zinazoweza kuleta machafuko zaidi. Hii ni baada ya wafuasi wa Ousmane So...
26
Wamiliki wa kumbi za starehe waandamana.
Wamiliki wa baa na kumbi za starehe mkoani Mwanza wameandamana kwa kufungiwa sehemu hizo za starehe. Maandamano yamefanyika kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa huo Amos Makalla amb...
25
Kenya kuanzisha vitambulisho vya kidigitali
Rais kutoka nchini Kenya William Ruto ametoa taarifa hiyo jana Mei 24, 2023 jijini Nairobi kwenye Mkutano wa ID4 Africa  na kueleza kuwa ni mpango wa Serikali kuanza kusa...
19
Waandishi wa habari waandamana, Tunisia
Wanahabari kutoka  nchini Tunisia wamefanya maandamano kupinga sheria dhidi ya ugaidi, wakiwa na mabango yenye jumbe tofauti wakidai sharia hiyo imetungwa ili kuvitisha v...
10
Gachagua: hatutazungumza na Odinga hadi amtambue Ruto kuwa ni rais
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, ametoa masharti kwa Kiongozi wa Azimio La Umoja Kenya, Raila Odinga  na kusisitiza anatakiwa akiri hadharani kuwa anamtambua W...
27
Treni zasitishwa kabla ya maandamano ya Kenya
Shirika la Reli nchini Kenya limesitisha shughuli zake zote za treni ya abiria katika mji mkuu wa Nairobi, kabla ya maandamano ya kupinga serikali Jumatatu hii yaliyoitishwa n...
21
Mwanafunzi wa chuo auawa kwa risasi katika maandamano nchini Kenya
Mwanafunzi wa chuo kikuu aliyefahamika kwa jina la William Mayange amepigwa risasi shingoni na polisi, mjini Kisumu, katika maandamano dhidi ya serikali yaliyoandaliwa na vion...
20
Mmoja apigwa risasi wakati wa maandamano nchini Kenya
Mtu mmoja amepigwa risasi karibu na soko, katika makazi duni ya Kibera katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, wakati maandamano yakiendelea katika jiji hilo. Moja ya chombo cha ha...

Latest Post