23
BASATA na mchakato wa kufanya marekebisho kwenye kanuni zake
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) chini ya katibu mkuu Kedmon Mapana ameeleza kuwa wapo katika mchakato wa kufanya marekebisho kwenye kanuni zake.Marekebisho haya yanakuja baa...
01
Siku ya Muziki ya Kimataifa, unapenda kusikiliza ngoma za aina gani
Kwa wapenzi wa burudani katika upande wa muziki, leo ni siku yao maalumu kwani dunia inaadhimisha siku ya Muziki ya Kimataifa.Uwep...
01
HAPAWARDS 2024 Wasanii Bongo wakabana koo
RHOBI CHACHANi nani atakayeibuka mshindi wa tuzo za Hollywood and African Prestigious Awards (HAPAWARDS)? Ni swali linalosubiriwa kujibiwa kwenye usiku wa kinyang'anyiro cha t...
06
Zuchu aomba radhi kwa jamii
Baada ya kuomba radhi kupitia ‘Lebo’ yake ya WCB kufuatiwa na kutumia lugha isiyofaa katika show yake ya Fullmoon Kendwa Visiwani Zanzibar na kupelekea kufungiwa k...
14
T Touchez, Madee wakalia kuti kavu BASATA
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limefungia wimbo wa mwanamuziki Madee alioachia siku ya jana tarehe 13 Disemba, kutokana na wimbo huo kukiuka maadili. Kwa mujibu wa barua il...
12
Lupita Nyong’o kuongoza Baraza la Majaji
Muigizaji Lupita Nyong’o anatarajiwa kuongoza Baraza la Majaji katika tamasha la Kimataifa la filamu la Berlinale mwezi Februari mwaka 2024. Kupitia ukurasa wa Instagram...
11
Ukitaka kusuka kibali million 1, Zanzibar
Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar Dkt. Omar amesema Askari wake wameanza kukamata Wanaume wote wanaosuka nywele kama za Wasichana wakiwa Z...
26
Wamiliki wa kumbi za starehe waandamana.
Wamiliki wa baa na kumbi za starehe mkoani Mwanza wameandamana kwa kufungiwa sehemu hizo za starehe. Maandamano yamefanyika kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa huo Amos Makalla amb...
08
Bar zaidi ya 80 zafungwa, Tanzania
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezifungia Bar za wazi zaidi ya 80 ikiwemo Elements, Wavuvi Camp, Boardroom, Kitambaa Cheupe, Liquid, Warehouse n...
13
Harmonize hakuwa na kibali kurekodi Zanzibar
Sasa mambo hadharani!!! Yapata siku kadhaa zimepita tangu msanii Harmonize atuonyeshe kwenye mitandao ya kijamii kuwa yuko Zanzibar kwa ajili ya kushoot video za baadhi ya nyi...

Latest Post