Gareth Frank Bale ambaye ni mchezaji anayecheza kama winga katika klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Wales, ametangaza kustaafu rasmi soka baada ya kudumu kwa miaka 17.K...
Polisi nchini Marekani wamesema mtoto wa miaka sita alitumia bunduki ya mama yake iliyonunuliwa kihalali kumpiga risasi mwalimu wake katika shule moja nchini humo.Katika mkuta...
Kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Zambia Chipolopolo, Philemon Mulala ameuawa na mbwa wake nchini Afrika Kusini.
Msemaji wa polisi, Sam Tselanyane, alisema kuwa mke wake al...
Kutoka nchini Brazil ambapo waandamanaji waliokamatwa ni wafuasi wa Rais aliyepita, JairBolsonaro ambao walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu Jijini Brasili...
Jeshi la Polisi nchini Kenya limewakamata watu wawili kufuatiwa na mauaji ya Bw Edwin Chiloba, mwanamitindo na mwanaharakati wa LGBTQ.Maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (D...
Oooooooooh! Niaje niaje wanangu sana, naona kama week inataka kuanza na moto hivi. Muigizaji wa filamu nchini Tanzania Kajala Frida ameweka wazi kuwa kwa sasa yupo t...
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza huchangia katika kumi bora ya vifo duniani katika nchi zenye uchumi mdogo, wa kati na wa juu, takwimu zilizotolewa na shirika la afya dunia...
Huu mwaka nao nishauchoka naona kama uishe tuuu, hahahaha! I hope mko good watu wangu wa nguvu, kama mnavyo jua wafanya biashara tuko na ule msemo wetu, mali bila ya daftari h...
Huduma ya kutuma ujumbe papo hapo ya WhatsApp itawaruhusu watumiaji kuunganishwa kupitia seva mbadala ili waweze kusalia mtandaoni ikiwa mtandao utazuiwa au kukatizwa na...
Hellow!!! Happy new year guys! Bila shaka umefanikisha kuona mwaka mpya wewe ambaye Mungu amekupa nafasi hii adhwimu sana tutoe shukran za dhati kwake.
Kama ilivyokawaida kari...
Polisi Nchini Kenya wanachunguza Chanzo cha mauaji baada ya kukuta mwili wa mwanamitindo maarufu Edwin Chiloba umetupwa Ukiwa Ndani ya Sanduku la Chuma. Kulingana n...
Kwa wale ambao tuna nywele asilia a.k.a natural hair, tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia, karibuni sana ...