09
Sadio Mane huenda asishiriki kombe la dunia
Mshambuliaji wa Klabu ya Bayern Munich, Sadio Mane atakosa fainali za Kombe la Dunia baada ya Kupata majeraha ya goti kwenye mchezo wa Bundesliga dhidi ya Werder Bremen. Hata...
09
Wataalamu kutoka Ufaransa kuja kufanya uchunguzi ajali ya Precision Air
Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania umesema kikosi cha wataalamu kadhaa kutoka Kituo cha Ufaransa cha uchunguzi na uchambuzi wa ma...
09
14 wafariki dunia katika shambulizi Syria
Shirika linalofuatilia haki za binadamu nchini Syria limesema watu 14 wamefariki dunia baada ya shambulizi kufanywa katika msafara wa kijeshi wa waasi wanaoungwa mkono na Iran...
09
Diva: Wanaume jifunzeni
Baada ya mwanadada mjasiriamali na mwandishi wa habari Zamaradi Mketema kukabidhiwa zawadi ya gari aliyonunuliwa na mume wakehuu hapa ujumbe wa mtangazaji wa radio Divath...
09
Je wajua kuwa wanawake wanahitaji usingizi zaidi kuliko wanaume
Hellow! Niaje wanangu na wafuatiliaji wa Mwananchi Scoop. I hope mko good, sasa leo bwana nakuletea somo ambalo ni muhimu sana japo wengi wao hupenda kulidharau. Wakati mume w...
09
Watu wawili wafariki kwa ajali Mbeya
Wakati taifa likiwa kwenye majozi ya kuwapotenza ndugu zetu kwenye ajali ya ndege iliyotokea novemba 6 mkoani Kagera bila kusahau ajali ya gari Kiteto taarifa nyingine ya ...
08
Drogba akanusha kubadili dini
Mchezaji maarufu wa zamani kutoka Ivory Coast, Didier Drogba amekanusha madai kwamba amebadilisha dini yake na kuwa Muislamu na kuongeza kuwa alishangazwa na jinsi taarifa hiy...
08
Mandonga:Ukinichukia nachukua nyota yako
Ebwana eeeh!!! Kama unavyofahamu bondia huyo aishiwi maneno bwana na mara nyingi huwa na misemo mbalimbali ikiwemo ngumi mchomo, ndoige safafari hii kana hilo jipya. Aloooo!!!...
08
Shujaa Majaliwa Jackson aanza Mafunzo
Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Jenerali John Masunga amesema kuwa tayari jeshi hilo limempokea kijana aliyeokoa abiria wa ajali ya ndege ya Precision Air, Maja...
08
Tapeli maarufu mtandaoni Hushpuppi ahukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka 11
Tajiri na tapeli maarufu mtandaoni Hush Puppi kutoka nchini Nigeria amehukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka 11 nchini Marekani kwa ...
08
Aziz ki, Chama wafungiwa mechi tatu
  Kamati ya usimamizi na uendeshaji ya bodi ya Ligi Kuu (TPLB) leo imetoa adhabu kwa wachezaji wa Simba na Yanga kwa kuvunja kanuni. Staa wa Yanga Stephan Aziz Ki na Sta...
08
Zaidi ya wanafunzi 1000 wa sekondari waacha shule kwa mwaka 2022
Wanafunzi 1,648 wa shule za sekondari wameacha shule kwa mwaka 2022 mkoani Mtwara huku waliotokea vijijini wakiwa wengi zaidi. Wanafunzi hao wa kidato cha pili na cha nne, Wil...
08
Familia za watoto walifariki nchini Gambia kutokana na dawa za kikohozi zakataa fidia
Familia za watoto 70 waliofariki kutokana na majeraha ya figo yaliyohusishwa na dawa za kutibu kikohozi zilizotengenezwa nchini In...
07
Idadi ya wakazi duniani kufikia bilioni 8
Umoja wa Mataifa unakadiria kwamba idadi ya wakazi duniani itafikia bilioni nane kufikia Novemba 15 na itaendelea kukua ingawa kwa kasi ndogo na kwa tofauti ya kimaeneo, katik...

Latest Post