27
Ujerumani yahalalisha matumizi ya bangi
Ujerumani imefungua njia ya kuelekea kuhalalisha ununuzi na umiliki wa kiasi kidogo cha bangi kwa ajili ya starehe. Watu wataruhusiwa kununua kiasi kisichozidi "gramu 20 na 30...
26
Wanafunzi 11 wauawa katika ajali ya moto, Uganda
Takriban wanafunzi 11 wamekufa na wengine sita wako katika hali mbaya baada ya moto kuzuka katika shule ya walemavu wa macho katikati mwa Uganda. Polisi ya Uganda imesema moto...
26
Adidas yasitisha kufanya kazi na Kanye West
Ooooooh! Waswahili wanamsemo wao bwana salimia watu pesa huishaa, basi bwana gumzo mitandaoni week hii ni kuhusiana na sakata kubwa la rapa Kanye west kufirisika baada ya mkat...
26
Mtu mchafu zaidi Duniani afariki baada ya kuoga kwa mara ya kwanza
Mtu anayesadikiwa kuwa mchafu kuliko wote Duniani Amou Haji a.k.a Mjomba Haji (94), amefariki dunia nchini Iran miezi michache baada ya kuoga kwa mara ya kwanza baada ya miaka...
25
Aliekuwa kocha wa Simba Zoran aanza kwa kishindo Misiri
Aliye kuwa kocha mkuu wa zamani wa klabu ya Simbasc Zoran Maki ameendelea kufaya vizuri katika Ligi Kuu ya Misri akiwa na klabu yake ya Al Ittihad baada ya jana kupa...
25
DC Tanga: msiwafunge watoto hirizi, wapelekeni hospitali
Wazazi wameshauriwa kuzingatia kuwa Watoto wakiwa na changamoto za kiafya kama kuwa na vichwa vikubwa au mgongo wazi badala ya kuishia kuwafunga hirizi miguuni, mikononi na sh...
25
Tatizo katika mtandao wa Whatsapp
Alooooh! Wale wenzangu wa kuweka mistatus mingi kama nawaona mnavyo zima data na kuwasha basi bwana kwa taarifa zilizo tufikia hivi punde ni kwamba mtandao huo unashida kidogo...
25
Polisi wakiri kumuua Mwandishi wa habari wa Pakistan
Hii imetokea huko nchini Kenya ambapo kupitia taarifa ya  Jeshi hilo limeahidi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua zinazostahili kwa wahusika waliompiga risasi Arshad Sha...
25
Unai Emery ndio kocha mpya wa Aston Villa
Aisee!!Klabu hiyo imemtangaza kocha huyo wa zamani wa Arsenal na Villarreal kuchukua nafasi iliyoachwa na Steven Gerrard. Aidha Emery anatarajiwa kuanza majukumu Novemba Mos...
24
Mauaji ya wakulima na Wafugaji: IGP aagiza askari wapishe uchunguzi
IGP Camillus Wambura ametoa maagizo hayo baada ya Watu wawili kuuawa na wengine wawili kujeruhiwa kutokana ya Polisi kutumia sila...
24
Kofia za kuzuia udanganyifu katika mitihani zazua mjadala mkali
Picha za wanafunzi waliovalia "kofia za kuzuia udanganyifu" wakati wa mitihani ya chuo kikuu zimeenea kwenye mitandao ya kijamii nchini Ufilipino, na kuzua burudani si haba mi...
24
Boris Johnson ajiondoa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania uwaziri mkuu
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Boris Johnson, amesema hatawania nafasi ya kuwa mkuu wa chama cha Conservative nchini Uingereza...
24
Rishi Sunak huwenda akatangazwa kuwa Waziri mkuu Uingereza
Kutoka huko Uingereza ambapo Rishi Sunak anaweza kutangazwa kushika nafasi hiyo leo Oktoba 24, 2022, kufuatia Waziri Mkuu wa zamani, Boris Johnson, kujiondoa katika mchakato w...
24
Zaidi ya watu 200 wauwawa kwenye mapigano ya kikabila, Sudan
Afisa mmoja wa juu wa afya nchini Sudan Fath Arrahman Bakheit amesema mapigano ya siku mbili ya kikabila kusini mwa nchi hiyo yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 220. Mapi...

Latest Post