Waandishi wa habari katika kituo cha habari kikongwe nchini Kenya cha Citizen Tv wanaripotiwa kulishwa sumu baada ya kula chakula siku ya Boxing day, wafanyakazi hao wal...
Polisi Mkoani Njombe wanamshikilia Grace Kiumbu mwenye umri wa miaka 30 Mkazi wa Kijiji cha Idindilimunyo Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe anayedaiwa kuwa ni Mgonjw...
Aloooooh! Kumekucha kumekucha naona kama mwaka unataka kuisha na vita flani hivi sio pouwa yani bwana bwana Staa wa muziki wa Bongo Fleva Alikiba amewajibu Mameneja ...
Mwanadada anaetikisa Zaidi kupitia mitandao ya kijamii Zarinah Hassan maarufu kama (Zarithebosslady) Yupo kwenye Shutuma Nzito za kusababisha ndoa ya mpenzi wake al...
Rais wa marekani Joe Biden ameidhinisha kupelekwa kwa msaada wa dharura katika jimbo la New York kufuatia dhoruba kali ya theluji iliosababisha vifo vya zaidi ya 27 huku wengi...
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amefuta sheria ya hukumu ya kifo na pia amebadili sheria ya ukosoaji wa Kiongozi wa Nchi kuwa kosa linaloadhibiwa kisheria. Kupitia mabadili...
Supu ni chakula maarufu sana, katika milo ya kila siku na mara nyingi huliwa asubuhi kama sehemu ya kifungua kinywa.
Lakini unajua kama supu hususani iliyochemshwa vizuri kuto...
Ooooooh! Kama tunavyojua msimu wa siku kuu za Krismasi huwaleta ndugu jamaa na marafiki pamoja katika mikusanyiko kama hiyo vyakula na vinywaji vya kila aina huand...
Wanangu wa chuoni mambo vipi. I hope mko pouwa kabisa, sasa leo katika segment yetu ya UniCorner tunakusogezea elimu ambayo hutaipata kwa mtu yoyote bali Mwananchi Scoop tu, s...
Ikiwa una wasiwasi juu ya kuwajibika kwenye kazi, pongezi. Ukweli tu kwamba una wasiwasi juu yake hukuweka mbele ya mfanyakazi mwenza mvivu, bosi hayupo, na watu wengine wote ...
Mabingwa wa kihistoria Tanzania, klabu ya Yanga imezuiwa kufikia rekodi ya kucheza michezo 50 mfululizo ya ligi kuu Tanzania bara bila kupoteza.
Ni klabu ya Ihefu, amba...
Haya haya kama kauli mbiu yetu inavyosema hakuna kukaa kilelemama ni kufanya biashara tu, hakuna kumuogopa mtu wala kiumbe yoyote kukukatisha tamaa, sasa week hii tumekusogeze...