Khosi mshindi wa Big Brother Titans

Khosi mshindi wa Big Brother Titans

Mwanadada Makhosazane Twala maarufu kama Khosi Twala mwenye umri wa miaka 25 raia kutoka nchini afrika kusini (South Afrika) ameibuka mshindi wa shindano la Big Brother Titans usiku wa kuamkia leo katika shindano lililojumuisha washindani 24 kutoka mataifa mawili ambayo ni Afrika Kusini na Nigeria.

Licha yakuwa mshindi katika shindano hilo la Big Brother Titans mrembo huyuo amejishindia pia nyumba na pesa dollar $100,000.

Ikumbukwe kuwa hapo nyuma mashindano haya yalijulikana kama Big brother Afrika ambapo Richard Bezuidenhout na Idris Sultan walikuwa washindi kipindi hicho ambapo kwa sasa wamebadili jina na kuliita Big






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags