Watu wasiojulikana wamechoma moto makazi ya mhubiri wa kanisa Katoliki kaskazini magharibi mwa Nigeria. Wakati wa shambulizi hilo, Padre Isaac Achi alichomwa moto mgongoni aki...
Mbunge wa zamani wa Afghanistan Mursal Nabizada mwenye umri wa miaka 32 na mlinzi wake wameuawa kwa kupigwa risasi nyumbani kwake katika mji mkuu Kabul.
Kaka yake na mlinzi wa...
Kufuatia video ya iliyosambaa mtandaoni ikiwaonesha wahudumu wa afya wakizozana kuhusu matibabu ya mgonjwa huku mmoja akipinga kitendo cha vifaa vilivyoisha muda kutumika, jar...
Habari mdau wa magazine yetu, karibu tena kwenye makala za kazi, ujuzi na maarifa kama unavyofahamu mwaka mpya na mambo mapya wahenga wanasema hivyo.
Yes, ni muhimu sana kujiu...
Hellow! Watu wangu wa nguvu, kama kawaida yetu yAani sisi hatunaga mba mba mba, leo katika biashara tunakusogezea mada konki ambayo itaweza kukupa elimu ya kile unachotaka kuk...
Mambo vipi watu wangu wa fashion? Halooo ni wiki nyingine tena tunakutana bwana kama ilivyo kawaida yetu hii ndiyo sehemu pekee ya kufundishana mambo mbalimbali yanayohusu mas...
Kivuko cha MV. KAZI kimerejea rasmi katika eneo la Magogoni Kigamboni kwa ajili ya kutoa huduma baada ya kukamilika kwa ukarabati wake mkubwa uliogharimu kiasi cha Tsh. Bilion...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Merrick Garland amemteua Mchunguzi maalumu kuchunguza tukio la kupatikana kwa nyaraka za siri katika makazi ya Rais Biden yaliyoko Wilm...
Hifadhi kubwa zaidi barani Ulaya ya madini adimu ambayo hutumiwa kutengenezea simu janja na makombora imepatikana nchini Sweden.
Hakuna madini adimu yanayochimbwa Ulaya kwa sa...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema mapigano bado yanaendelea kwenye mji muhimu mashariki mwa nchi hiyo wa Soledar ambao mamluki wa kundi binafsi la ulinzi kutoka Urusi...
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imeandaa maeneo wezeshi ya kilimo kwa Vijana ili kuwekeza kwenye kilimo na kuwaondoa kwenye maisha ya ku-bet. Hayo yameelezwa na Naibu...
Hatua hiyo imetokana na Mikoa ya jirani, Kigoma, Kagera na Mwanza kukataa kuachia maeneo yake ili kuunda Mkoa wa Chato, wazo ambalo liliibuka katika Utawala wa Hayati Joh...