Baby mama wa Dababby akamatwa kwa kusababisha ajali

Baby mama wa Dababby akamatwa kwa kusababisha ajali

Staa wa muziki kutoka nchini Marekani Danileigh ambae ni Baby mama wa Rapa Dababy, amekamatwa na Polisi kwa makosa matatu.

Ikiwemo kosa la kumgonga mtu kwa gari na kukimbia huku akiendesha akiwa amelewa huko Miami Beach.

Kwa mujibu wa ripoti ya Polisi iliyopatikana na mmoja ya chombo cha habari kimeeleza kuwa baadhi ya mashahidi walimshuhudia Dani akiwa anaendesha gari kwa kasi huku gari hilo likionekana kukosa muelekeo na kumgonga mtu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags