Diamond anaupiga mwingi kwenye maokoto

Diamond anaupiga mwingi kwenye maokoto

Ebanaee!!! Amkeni bhana we hivi unajua staa wa muziki wa bongo fleva Diamond platnumz anaingiza mkwanja wa kiasi kikubwa cha Tsh.milioni 183.

Kwa mujibu wa ukurasa wa Twitter wa Africa Facta zone imesema kutoka kwenye akaunti yake ya Youtube yenye wafuasi milioni 7.73 na kutoka kwenye uwekezaji wake kwa kila mwezi.

Imeonekana kwa upande wa Youtube anaingiza Tsh.Milioni 113 na kwa upande wa Endorsement zake anaingiza Tsh.Milion 70 huku akichukua Zaidi ya Tsh.milioni 236 kwa show moja.

Mbali na hivyo Staa huyo anamiliki nyumba 11, Hotel ,Kituo cha Tv na Radio na anamiliki Kisiwa chenye thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post