23
Rais Hakainde: Acheni kupeleleza simu za wapenzi wenu
Rais nchini Zambia, Hakainde Hichilema amewataka raia wa nchi hiyo kuacha kuchunguza simu za wenzi wao na maoni hayo yamekuja kwa kujaribu kupunguza viwango vya talaka nchini....
23
MAHUSIANO: Kama kweli mtoto wa mama mkwe anakupenda atakufanyia mambo haya
Ooooooooh! Tumerudi mjini bwana, ni kama tuliwapa break Fulani hivi, si mnajua tena maisha bila mahusiano hayawezi kwenda kabisa?&...
23
Mwanamke wa kwanza kutawazwa kuwa mchungaji
Katika maeneo mengi ya kikristo duniani, kuwa na viongozi wa kike wa kanisani si jambo geni sana. Lakini mpaka sasa, nchi takatifu ambapo matukio mengi katika biblia yamewekwa...
22
Tips zitazokusaidia kujitafuta mapema
Oyaaaah! Wanangu, majobless tuwaambie hawa watu au tuwaache kidogo waone joto la jiwe hahaha!, Lakini wacha tuwajuze wasije kujuta baadae. Haya sasa leo katika segment yetu il...
22
Lijue tatizo la upungufu wa nguvu za kiume
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri. Shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, ...
22
Namna ya kuzungumza na bosi kuhusu maendeleo ya kazi
Assalam alaykum guys!! Ni wasaa mwingine tena tunakutana kupitia kipengele cha makala za kazi, ujuzi na maarifa ikiwa lengo ni kujifunza na kuhakikisha tunatengeneza mazingira...
21
Muuguzi aliyeguka mwalimu wa taekwondo nigeria
Niaje mwana burudani mwenzangu karibu sana kwenye kipengele chako pendwa kinachokuondolea stress angalau unaswazisha kichwa bhana kupitia masuala ya michezo na burudani.  ...
21
Mawazo ya biashara mwaka 2023
Oooooooh! Ni week nyingine tena katika segment yetu ya biashara, sisi bwana mwendo wetu ni ule ule mpaka mkubali kufanya biashara na kutokuwa tegemezi, yaani ni jinsi gani nin...
21
Ifahamu rangi inayobamba 2023
Mambo niaje fashionista na mpenda mitindo mwenzangu? Karibu kwenye uwanja wetu wa kujidai bwana wa suala ya mitupio na muonekano aisee. Wiki hii moja kwa moja tumekuletea rang...
20
Whatsapp yapigwa faini ya Tsh. Billion 13.9
Kampuni ya mtandao ya Whatsapp yapigwa faini ya Tsh. bilioni 13.9 kwa kukiuka sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi za watumiaji wao. Tume ya Kulinda Data ya  Ireland ...
20
Uchumi 2023 utakuwa bora Zaidi, Ulaya
Mkuu wa Benki Kuu nchini Ulaya, Christine Lagarde amesema, uchumi wa kanda ya Ulaya utakuwa bora zaidi mwaka huu kinyume na ilivyohofiwa awali. Lagarde ameyasema haya huko Dav...
20
Jordan na Amber sio wapenzi
Tetesi zilizoibuka siku za hivi karibuni zikidai kwamba muigizaji Michael B. Jordan kudaiwa kutoka kimapenzi na mwanamitindo wa Uingereza Amber Jepson sio za kweli.Kwa mujibu ...
20
Akutwa uchi kanisani, Njombe
Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 anayetajwa kuwa ni mkazi wa Mkoa wa Morogoro amekutwa akiwa mtupu kwenye madhabahu ndani ya Kanisa la Anglikana, lilil...
20
Tanzania na Kenya kuendeleza ushirikiano katika sekta ya gesi na umeme
Waziri wa Nishati nchini, January Makamba pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Isaac Njenga wamekutana na kufanya mazungumzo...

Latest Post