Diamond amkabidhi million 10 mdaka mishale

Diamond amkabidhi million 10 mdaka mishale

Mkurugenzi wa Wasafi Media na mwanamuziki mashuhuri Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ametimiza ahadi yake ya kumkabidhi zawadi mlinda mlango au unaweza kumuitwa screen protector, mdaka mishale wa klabu ya Yanga  Djigui Diarra.

Diamond alitoa ahadi hiyo wakati klabu ya Yanga ikichuana na ASM Alger katika mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho ambapo katika mchezo huo Golikipa huyo aliondoka na Tuzo ya Mchezaji bora wa Mechi.

Mapema leo katika Head quarters za wasafi media Diamond amemkabidhi kipa Diarra kiasi cha Dola za kimarekani 4200 sawa na zaidi ya milioni 10 za Kitanzania






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags