Mwalimu Samuel Subi wa shule ya msingi Igaka, anayetuhumiwa kumuua mwalimu mwenzake kisa uongozi, amekutwa amejinyonga kwa kutumia shati alilovaa akiwa mahabusu Machi 17,...
Mtu mmoja amepigwa risasi karibu na soko, katika makazi duni ya Kibera katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, wakati maandamano yakiendelea katika jiji hilo.
Moja ya chombo cha ha...
Mkongwe wa muziki wa Taarabu nchini Tanzania, Khadija Kopa amepewa tuzo ya Mwanamke wa Shoka kwenye sanaa yake ya muziki.
Tuzo hiyo alipatiwa kufuatiwa na kongamano la si...
Kufuatiwa na maandamano makubwa jijini Nairobi yaliyoitishwa na kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga kutokana na madai ya mfumuko mkubwa wa bei na gharama za maisha ...
Ebwana eeeeh!!! Daaah hivi unajua ili uwe mwanamuziki wa Hip-Hop unatakiwa ufahamu vitu gani haswa vya msingi? Je unajua kuwa unatakiwa uwe mbunifu, lakini pili uwandishi wa m...
Ebwana mambo vipi, karibu sana kwenye ukurasa wa makala za kazi, ujuzi na maarifa. Kama ilivyo kawaida yetu, huu ni ukurasa pekee unaokupa madini mengi sana kuhusaiana na masu...
Mambo vipi watu wangu wa nguvu? Kama kawaida yetu katika segment ya biashara hatujawahi kuwa na mba mba mba so leo nitaongea kwa ufupi sana ili kila mtu apate kuelewa.
...
Aloooh niaje watu wangu!! Its Friday bwanaa, kama kawaida, and this is fashion hatulali bwana mambo ni hot hot. Kama kawaida hapa ni bandika bandua bwana, weka vitu, leta vitu...
Whats up my adventurous people? Ni wiki nyingine tena ambapo tunakutana katika segment ya Bata Batani nikikujulisha kuhusiana na sehemu mbalimbali unazoweza kwenda kuenjoy ya ...
Idadi ya watu waliofariki kwa mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga Freddy wapata 400, ambapo idadi hiyo inajumuisha vifo vilivyotokea tangu kimbunga hicho kilipoingia barani ...
Msanii wa muziki wa bongo fleva Anjella amefunguka na kusema kuwa toka achore tattoo ya jina la aliyekuwa boss wake Harmonize, bado hawajawasiliana kabisa licha ya staa h...
Mawaziri kutoka nchini Uingereza wamezuia kutimia mtandao wa TikTok katika vifaa vya ofisi. Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama.
Serikali nchini humo imekuwa i...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa tahadhari juu ya uwepo wa ugonjwa ambao bado haujajulikana mkoani Kagera, katika Wilaya ya Bukoba Vijijini, ambapo watu 7 wanasadikika k...