Burna Boy aweka record nyingine UEFA

Burna Boy aweka record nyingine UEFA

Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria Burna Boy ameweka record ya msanii wa kwanza Afrika kwenye fainal ya ligi ya mabingwa UEFA.

Nyota huyo amewaburudisha mashabiki wakandanda zaidi ya elfu 75 kabla ya mechi ya Manchester City dhidi ya Inter milan kuanza huko Istanbul nchini Uturuki katika uwanja wa Ataturk Olimpic.

Hii ni show yake nyengine katika matukio ya michezo kwani mwaka huu February 19 the Afrika Giant alipiga show katika kipindi cha mapumziko sambamba na kwenye mchezo wa All star NBA mwaka huu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags