Boti yawaka moto baharini

Boti yawaka moto baharini

Boti ya watalii nchini Misri iliokuwa imebeba jumla ya watu 27, miongoni mwao wakiwa watalii 15 wa Uingereza imewaka moto ikiwa baharini.

Vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa katika ajali hiyo waingereza 12 wameokolewa huku juhudi za uokoaji na kuwatafuta wengine zikiendelea.

Sambamba na tukio lilotokea siku chache baada ya fukwe kufungwa katika eneo la mapumziko la bahari nyekundu la Hurghada baada ya Mwanaume aliyekuwa akiogelea baharini kufariki baada ya kutafunwa na papa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags