Baada ya shirika la chakula duniani la umoja wa mataifa (WFP) kusitisha sehemu ya msaada wa chakula nchini Ethiopia kutokana na wasiwasi kuwa misaada hiyo haiwafikii wahusika.
Juni 8, 2023, USAID ilisitisha misaada ikisema imegundua kampeni ya kupotosha misaada, huku wanufaika wakiwa ni vikosi vya jeshi la nchi hiyo.
Aidha hatua hizo zinatajwa kuwa ni adhabu kwa mamilioni ya watu ambapo zaidi ya watu milioni 20 nchini humo wanahitaji msaada wa chakula kutokana na ukame na vita vya hivi karibuni katika eneo la Tigray.
Leave a Reply