29
Sababu Serikali ya Ethiopia, Saudi Arabia kutotumia red carpet
Nchi nyingi zimekuwa na sifa mbalimbalia ambazo hutumika kama kielelezo chake, ukitaka kufahamu historia ya  Ethiopia lazima ugusiwe kutotawaliwa kwake, na kuhusu Saudi A...
22
Watu 7 wauwawa katika shambulio, Somalia
Takriban watu saba wameuwawa siku ya jana wakati magari mawili yaliyobeba mabomu kulipuka nje ya kambi ya mafunzo ya kijeshi katika mji wa Bardhere, kusini mwa Somalia. Moja y...
12
Ethiopia yakosoa UN kwa kusitisha msaada wa chakula
Baada ya shirika la chakula duniani la umoja wa mataifa (WFP) kusitisha sehemu ya msaada wa chakula nchini Ethiopia kutokana na wasiwasi kuwa misaada hiyo haiwafikii wahusika....
06
Sanamu la Nyerere kujengwa Ethiopia
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana leo amewasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka 2023/24 Bungeni jijini Dodoma, ambapo moja y...
11
WFP kuchunguza uuzwaji wa chakula cha msaada
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), linachunguza wizi wa chakula cha msaada kupitia operesheni za kiutu nchini Ethiopia, hii ikiwa ni kulingana na barua ambayo shirika...
09
Ndoa za utotoni zaongezeka Ethiopia
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia Watoto UNICEF, limefahamisha kuwa ndoa za utotoni na unyanyasaji wa kijinsia umeongezeka nchini Ethiopia. Madaktari na wafanyakazi w...
02
Kanisa nchini Ethiopia lamkosoa Waziri Mkuu wao
Uongozi mkuu wa Kanisa la Kiorthodox nchini Ethiopia (Synodi), ambalo ni Kanisa kubwa zaidi nchini humo, umetishia kuitisha mikutano ya kitaifa itakayoongozwa na mkuu wa Kanis...
03
Ethiopia, Mahakama zapewa onyo kutoa vitisho kwa waandishi wa habari za uchunguzi
Mamlaka ya Vyombo vya Habari vya Ethiopia (EMA) ambayo iko chini ya Serikali imetoa onyo kwa mamlaka nyingine ambazo zimekuwa ziki...

Latest Post