Rais wa Rwanda, Paul Kagame amemshutumu Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi kuwa anakiuka makubaliano kadhaa wanayoafikiana kuhus...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia Watoto UNICEF, limefahamisha kuwa ndoa za utotoni na unyanyasaji wa kijinsia umeongezeka nchini Ethiopia.
Madaktari na wafanyakazi w...
Watu 12 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Frester lililokuwa likitoka Bukoba kwenda Dar...
Idadi ya watu waliofariki katika matetemeko Mawili yenye kipimo cha Richa 7.8 na 7.6 yanazidi kuongezeka kadri muda unavyosogea, ambapo hadi hivi sasa Turkey imerek...
Mahakama ya Juu nchini Nigeria imesitisha kwa muda shauri la kuacha kutumia noti za zamani, jambo ambalo lilikuwa limesababisha mzozo wa fedha nchini humo.
Benki nyingi hazija...
Ofisa mkuu wa klabu ya Juventus Francesco Calvo amekanusha tetesi zinazo sambaa katika mitandao ya kijamii kuwa upo mpango wa kuvunja mkataba na mshambuliaji wao P...
Timu ya mpira wa miguu ya Manchester City ipo hatarini kukatwa pointi au kuondolewa katika ligi ikiwa itakutwa na hatia kwenye tuhuma za kuvunja sheria wanazodaiwa kuzifanya m...
Baharia wa Wanamaji wa Kifalme Morrell Murphy ambaye aliripotiwa kufariki wakati wa vita vya pili vya dunia amesherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo ametimiza miaka 100.
Mwa...
Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ya Bunge imebaini kuwa vifo vingi hutokana na ajali nyingi ambazo zinasababishwa na uhaba wa vitendea kazi, taa za barabarani, kamera...
Kampuni ya kuunda vifaa vya kielektroni ya DELL itawaachisha kazi wafanyakazi 6,650 sawa na 5% ya wafanyakazi wote kutokana na mauzo ya kompyuta kupungua kwa 28% kila mwaka.DE...
Ripoti za idadi ya waliofariki inaendelea kuongezeka kufuatia tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.8 kwa kipimo cha richa kuzipiga Uturuki na Syria, usiku wa kuamkia Februari 6, 2...
Alooooh kipo cha kujifunza kutoka kwa mwanadada maarufu anayefanya vichekesho hususani mambo yanayotokea uswahilini,hatimaye amepata ubalozi wa lotion ya kupaka inayoondoa nyw...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Burna Boy, bwana weeeh ni kama ana bahati mbaya na tuzo za Grammy, hii ni baada ya muendelezo wa kukosa tuzo hizo kubwa duniani.Kwa mara...
Idadi ya waliokufa katika tetemeko kubwa la ardhi lililotokea Kusini Mashariki mwa Uturuki, karibu na mpaka wa Syria ni zaidi ya 100 huku wengine wakihofiwa kukwama katika vif...