Alooooweeee! Alootenaaa! Ila tuache masihara bwana watu wangu wa segment ya burudani nimewamisi mnoo, haya leo bwana tumeshuka na mada ambayo baadhi ya watu watakuwa wanajua l...
Mwanaume mmoja aliyefahamiaka kwa jina la Katayo Bote, Mkazi wa Kijiji cha Kibwera, mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili ...
Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria wametumwa misikitini ili kuhakikisha usalama wa maisha na mali katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Kufuatia taari...
Kampuni maarufu ya kutengezea nguo, viatu na vifaa mbalimbali ya Adidas imevunja mkataba wake na mwanamuziki mashuhuri kutoka nchini Marekani Beyonce, kutokana na mauzo ya bid...
Kufuatia ugonjwa hatari wa Marburg kutoka mkoani Kagera watu 193 wawekwa karantini kwaajili ya uchunguzi zaidi, Miongoni mwa watu hao ni watumishi wa afya 89 na weng...
Shirika la Afya duniani (WHO) limetaja nchi ambazo zimeathirika na ugonjwa wa kipindupindu, ambapo shirika hilo limesema kuwa ugonjwa huo umeenea duniani kote, haswa barani Af...
Serikali kutoka nchini Zimbabwe imetaka wafanyakazi wote wa umma kuongezewa mshahara kwa 100%, aidha imebainisha kuwa lengo la ongezeko hilo ni kurahisisha maisha kwa Wananchi...
Hehehehe! Nyie nyie nani kasema wanawake hawawezi, basi bwana bondia mwanamke kutoka nchini Tanzania Stumai Muki ameshinda katika pambano la ngumi, dhidi ya Chimwe...
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imeonya vikali vyombo vya utangazaji nchini humo zikiwemo Radio na Televisheni kuacha kurusha maudhui ya kufikirika hasa yanayogusa iman...
Mshambuliaji wa klabu ya Paris St-Germain (PSG) Kylian Mbappe ameteuliwa kuwa nahodha mpya wa timu ya taifa ya Ufaransa ambapo mshambuliaji huyo anamrithi mlinda mlango wa Tot...
Mahakama kutoka nchini Marekani imewakuta na hatia ya mauaji ya daraja la kwanza na wizi wa kutumia silaha Dedrick Williams mwenye umri wa miaka (26), Trayvon Newsom (24) na M...
Mamlaka nchini Malawi zinasema idadi ya watu ambao bado hawajulikani walipo kufuatia kimbunga Freddy imeongezeka kutoka 349 hadi 427, huku nchi nyingi zikiendelea kutuma misaa...
Tajiri wa vyombo vya habari kutoka nchini Australia Rupert Murdoch, mwenye umri wa miaka 92, ametangaza kuchumbiana na mpenzi wake Ann Lesley Smith 66, kasisi wa zamani wa pol...
Mwanafunzi wa chuo kikuu aliyefahamika kwa jina la William Mayange amepigwa risasi shingoni na polisi, mjini Kisumu, katika maandamano dhidi ya serikali yaliyoandaliwa na vion...