Maafisa wa polisi wanne wauwawa,Kenya

Maafisa wa polisi wanne wauwawa,Kenya

Maafisa wanane wa polisi nchini Kenya wameuwawa wakiwa katika gari lao lililolipuka katika shambulio linaloshukiwa kufanywa na kundi la jihadi lenye makao yake nchini Somalia la Al-Shabab jeshi la polisi limesema .

Tukio hilo lilitokea siku ya Jumanne nchini humo katika eneo lililo mpakani na Somalia, mahala ambako Al-Shabab wamekuwa wakiendesha uasi wa umwagaji damu.

Aidha mkuu wa eneo hilo la Kaskazini Mashariki John Otieno amesema “Tulipoteza maafisa wanane wa polisi katika shambulio hili tunashuku ni kazi ya al-Shabab ambao hivi sasa wanavilenga vikosi vya usalama na magari ya abiria”alisema mkuu huyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags